Rais wa serikali ya wanafunzi ya chuo cha ustawi wa
jamii – ISWOSO Mheshimiwa Hemed Haroub, amewataka wanachuo kuchangamkia fursa
mbalimbali za ajira, ambazo zimewafikia katika chuo cha ustawi wa jamii hii leo.
Rais wa serikali ya wanafunzi - ISWOSO Mheshimiwa Hemed Haroub, akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa semina hiyo.
Pichani ni baadhi ya wanachuo walioshiriki kwenye semina hiyo.
NB: KWA HABARI NA PICHA ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII
No comments:
Post a Comment