Mkutano wa kwanza wa wanafunzi ISWOSO - STUDENTS GENERAL MEETING ( SGM), unafanyika leo katika ukumbi wa chuo lengo kuu likiwa ni uzinduzi wa katiba mpya ya serikali ya wanafunzi, pamoja na mashindano ya kitaaluma.
Meza kuu
Katibu mkuu ofisi ya Rais - ISWOSO Mh.Victor Mutalemwa akitaka ufafanuzi wa vifungu vilivyoongezwa katika katiba mpya ya serikali ya wanafunzi.
Wanachuo wakifuatilia hotuba ya Rais akiwasilisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi aliyoiahidi.
No comments:
Post a Comment