Friday, 14 August 2015

HABARI NJEMA KWA WANA CHUO NA WASIO WANACHUO

Share it Please




Chuo kikuu cha Kairuki Memorial kikishirikiana na Aghakhan Hospital wameandaa semina juu ya afya ya uzazi salama na namna ya kujikinga au kuepuka na saratani na vifo vya watoto wadogo na wenye ulemavu.



Walengwa ni pamoja watoa huduma za afya, watunga sera, watafiti, wafadhili mbalimbali, wazazi, wenye matatizo ya kiafya, asasi na mashirika ya kijamii,  vijana wajitolea (youth volunteers) kutoka maeneo mbalimbali duniani.



Mada zaidi ya kumi na moja (11) kujadiliwa.



Semina hii inatarajia kufanyika mwezi wa 9 kuanzia tarehe 21 - 24, 2015.



Ada ya kujiandikisha kwa wanafunzi angalia mahali palipoandikwa in a low - or middle income countries US Dollar 100.



Kwa maelezo zaidi bofya link hii hapa chini
https://icbd2015.com



Imetolewa na Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha ustawi wa jamii - ISWOSO 2015/2016.

No comments:

Post a Comment

Followers

Check us on Facebook

Designed By WijasWillie | SharpMedia