Wizara ya Elimu ISWOSO inapenda kuwatangazia kuwa
Mitihani ya special, deffered na supplementary ya muhula Wa pili
inatarajiwa kuanza mnamo
tarehe 14/9/2016 na kumalizika tarehe 23/9/2016.
Wizara zinapenda kuwakumbusha kujiandaa vyema na
kuwatakia maandalizi mema kwa wote
wanatarajiwa kufanya mitihani hiyo.
No comments:
Post a Comment