WIZARA YA ELIMU KWA KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA.
Inapenda kuwakumbusha wale wote waliokwisha pata matokeo yao ya muhula Wa pili Wa masomo na wana uhitaji kwa kukata rufaa ,Kwamba kwa mujibu Wa prospectus 2015/16 Almanac ya Taaluma mwaka 2015/16 rufaa zote kuhusiana na matokeo ya mtihani zitapokelewa katika ofisi ya makamu mkuu Wa chuo ,Taaluma,utafiti na ushauri Wa kitaaluma kuanzia tarehe 30/8/2016 hadi tarehe 2/9/2016, gharama ni shilingi elfu arobaini(40,000) kwa kila somo litakalo katiwa rufaa.
NB:Rufaa zote zitakazowasilishwa nje ya muda hazitasikilizwa hivyo ni muhimu na Lazima kuwasilisha ndani ya Muda stahiki.
Kwa mawasiliano zaidi;Waziri Wa Elimu 0715370377
Waziri katiba na sheria 0718535614
Naibu waziri elimu 0767561466
Naibu waziri Elimu 0659187166
Naibu waziri katiba na sheria-0712527041
Continue Reading...