Mhe Erasto Nassary
Waziri Ofisi ya Rais Usalama na Itifaki
Muda wa Kuingia kwa Mhe Rais, Makamu wa Rais Pamoja na Waziri Mkuu
Kutoka Kushoto ni Waziri Wa Elimu Mhe Fadhili, akiteta jambo na Mhe Hellen (Makamu wa Rais) kabla ya Mkutano Kuanza Kuanzia hapo Kilia ni Mhe Rais Mhe Yohana Mabena na mwisho kulia ni Waziri Mkuu Mhe Godfrey
Baadhi ya Wajumbe (wanafunzi) wakisikiliza
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Moses Mvuoni akidadavua kitu kuhusiana na Katiba
Makamu wa Rais Akiongea machache
Wanafunzi walijaa hadi wengine Kusimama
Mhe Rais Akitoa Hotuba Yake
Maswali yaliulizwa
Mhe Nassoro Mbunge BHRM2A
Hakika Umakini na Usikivu ulitawala
Karibuni katika SGM nyingine imeletwa kwako na Wizara ya Habari