Wednesday, 30 November 2016

Mkutano Mkuu wa Wanafunzi Tarehe 30 Nov 2016 Ulikua Hivi

Mhe Erasto Nassary
Waziri Ofisi ya Rais Usalama na Itifaki
Muda wa Kuingia kwa Mhe Rais, Makamu wa Rais Pamoja na Waziri Mkuu

 Kutoka Kushoto ni Waziri Wa Elimu Mhe Fadhili, akiteta jambo na Mhe Hellen (Makamu wa Rais) kabla ya Mkutano Kuanza Kuanzia hapo Kilia ni Mhe Rais Mhe Yohana Mabena na mwisho kulia ni Waziri Mkuu Mhe Godfrey
 Baadhi ya Wajumbe (wanafunzi) wakisikiliza

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Moses Mvuoni akidadavua kitu kuhusiana na Katiba
 Makamu wa Rais Akiongea machache


 Wanafunzi walijaa hadi wengine Kusimama

 Mhe Rais Akitoa Hotuba Yake

 Maswali yaliulizwa 


 Mhe Nassoro Mbunge BHRM2A

Hakika Umakini na Usikivu ulitawala



Karibuni katika SGM nyingine imeletwa kwako na Wizara ya Habari
Continue Reading...

Friday, 4 November 2016

Matukio ya Siku ya Kikao cha Rais na Mawaziri wake

 Mhe Rais na Mhe Makamu wa Rais katika Kikao cha Dharura kilichofanyika mnamo tarehe 28 Oct na Baraza la Mawaziri



  
Mhe Emmanuel Laizer
Waziri wa Fedha

Mhe Silver Ngaiza
Naibu Waziri wa Mipango na Uchumi

 Mhe Boniface Daudi
Naibu Waziri wa Mikopo

Mhe Ericky Maghembe
Naibu Waziri wa Makazi na Ulinzi

 Wizara ya Michezo kutoka kushoto nyuma ni Mhe Evance Mushi Waziri wa Michezo na Burudani, katikati Mhe Saad Chande Naibu Waziri wa Michezo na Burudani mbele kulia ni Mhe Ashura Jingu Naibu Waziri wa Michezo

Continue Reading...

Tuesday, 18 October 2016

MAJINA YA WANAFUNZI WALOCHAGULIWA USTAWI HAYA HAPA


Kutazama majina hayo pitia link hii hapa then utaenda mahala pameandikwa download then click hapo na utaona hapo... BOFYA HAPA
Continue Reading...

Followers

Check us on Facebook

Designed By WijasWillie | SharpMedia