The 4th EAC University students' debate is scheduled to take place on 7th - 8th September 2015 in Kampala - Uganda. The debate is expected to bring together representation from university students, lecturers, academia, policy makers, media, youth leaders and one high school to participate in the event.
The specific objectives of the EAC University Students' Debate are:-
To promote continued participation of the youth...
Thursday, 20 August 2015
Wednesday, 19 August 2015
SELECTED CANDIDATE FOR VARIOUS COURSES OFFERED AT THE ISW 2015/2016
Institute of Social Work Dar es salaam, has already published the list of selected candidates for Admission into Masters, Postgraduate Diploma, Ordinary Diploma and Basic Certificate course to be offered at the Institute for the 2015/2016 academic year.
For more information visit www.isw.ac.t...
Tuesday, 18 August 2015
TAHADHARI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR NA WANACHUO : KIPINDUPINDU CHAIBUKA

Ugonjwa wa kipindupindu umelipuka tena jiji ni Dar es salaam.
Kufuatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Said Meck Sadick ametoa tahadhari kwa wakazi wa jiji hilo, kuwa makini kwa kuzingatia kanuni za afya.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam bwana Said Meck Sadick
Ugonjwa huo tayari umekwishapoteza maisha ya watu wawili...
Friday, 14 August 2015
HABARI NJEMA KWA WANA CHUO NA WASIO WANACHUO

Chuo kikuu cha Kairuki Memorial kikishirikiana na Aghakhan Hospital wameandaa semina juu ya afya ya uzazi salama na namna ya kujikinga au kuepuka na saratani na vifo vya watoto wadogo na wenye ulemavu.
Walengwa ni pamoja watoa huduma za afya, watunga sera, watafiti, wafadhili mbalimbali, wazazi, wenye matatizo ya kiafya, asasi na...
Monday, 10 August 2015
WELCOME DEAR VIEWERS
Welcome to the Institute of Social Work Students Organization - ISWOSO Blog
We are sorry, this blog is still under constructi...
Subscribe to:
Posts (Atom)
Followers
Check us on Facebook
Designed By WijasWillie | SharpMedia